Sentro ya Clouds TV inakupa habari mbalimbali zinazogonga kwenye vyombo vya habari Tanzania. Mjadala mkubwa ukiwa ni Makubaliano ya Serikali ya Tanzania na Oman, na Nishati Safi ya Kupikia. Hapa hapa Sentro ya Clouds Tv na @BarbaraHassanm na @BabbieKabae #