Sugar lyrics 🔽 Sweet like a kuku tamu sana sweet like a soup am going to die kwenye dimbwi sijiwezi nimezama mi corazon my baby banana penzi hulifichi kama ni sindano itachoma mi siambiliki hata wakaniroge kigoma ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paah